Elimu ya Tanzania ni sawa na ya W.Virginia

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,773
2,182
Pamoja na kile kinachoonekana dhahiri kuwa kudorora kwa kiwango cha elimu nchini ambapo kwa matokeo ya kidato cha 4 ya mwaka 2015 asilimia 80% ya watahiniwa 433,000 walipata daraja la 4 na 0, na takribani asilimia 205 walipata daraja la 1,2 na 3, kiwango hiki kinalingana na kile cha jimbo la West Virginia huko Marekani.

Angalia link hii hapa chini:

Redirecting...
 
Pamoja na kile kinachoonekana dhahiri kuwa kudorora kwa kiwango cha elimu nchini ambapo kwa matokeo ya kidato cha 4 ya mwaka 2015 asilimia 80% ya watahiniwa 433,000 walipata daraja la 4 na 0, na takribani asilimia 205 walipata daraja la 1,2 na 3, kiwango hiki kinalingana na kile cha jimbo la West Virginia huko Marekani. Angalia link hii hapa chini:

Redirecting...
West Virginia unakujua?

Ni sehemu wanakaa wachimba makaa ya mawe country bumpkins wanaooana dada na kaka huko machakani.

Mtu akikwambia elimu yako kama ya West Virginia kakutukana, hajakusifia.
 
Hawajakosea.

West Virginia, Arkansas na Mississippi ni majimbo masikini sana Marekani.


ImageUploadedByJamiiForums1456747410.357836.jpg


ImageUploadedByJamiiForums1456747427.172968.jpg
 
Back
Top Bottom