mabumbe
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 298
- 40
Nina form form ya scholarship na masters kwa 2016/2017, naomba mtu yeyote mwenye kutaka kwenda kusoma Islamabad pakistani tuwasiliane nmtumie, ataingia kwenye website ya chuo na kuchagua kozi deadline 29/02/2016, uwe na uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf.