kim jung shik
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 129
- 23
jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC NASOMA TELECOMUNICATION AND ELECTRONICS NATAFUTA FIELD SASA KUNA KAMPUNI INAITWA CAM SAT SIJUI IPO WAP NATAKA NIKAOMBE HAPO JAMANI NISAIDIENI WIKI YA TANO SASA TOKA FIELD IANZE MIMI BADO AU KAMPUNI YEYOTE NINAYOWEZA FANYIA