Ndugu wanajamvi msinione nalia nataasisi hii wananitesa sana , Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa mwaka wa 1mikopo yao ilioenda vyuo vingine na tulivyochaguliwa hakika usiombe ukutwe wewe ,mwanao au nduguyo yoyote na jambo hili atateseka sana ndugu zangu tangia niiingie chuo sijawahi saini mkopo wangu ulienda udsm Mimi selected chuo kingine kiukweli nimeenda Bodi sichini ya safari 20 tokea nianze masomo hakika majibu ninayoyapata hayanirizishi kabisa majibu yao ni subiri. Ndugu wanajamvi swala hili Bodi ya mikopo ilitoa siku sitini tangozo lao la mwezi Nov 2015 ambapo mpaka sasa tunaelekea siku ya 104 lakini mkopo wangu haujaletwa chuoni ili niusaini uingie kwenye Account yangu.Ndugu zangu wiki lililopita walileta chuoni majina 10 kati ya 30 wanafunzi wenye tatizo moja ili wasaini sasa Leo tumewaendea kuwahoji mbona majina yetu hamjayalet a majibu nikichekesho sikieni jamani .Hatukuona Reg No ,Pamoja na Account no,Mimi nikamuuliza unajua majukumu yako akajibu ndio,Nikamuuliza hapa mnanamba si za ma loan officer wakila chuo? Akajibu ndio Nikamuambia kumpigia kumuomba hivo vielelezo ulivyovitaka uliona zambi? Akasema nikupitiwa tu ,Nasema tena nasema Idara ya malipo Ghorofa ya kwanzaa na huyo boss wenu mnavotutesa hamtatui shida zetu ,Mtatumbuliwa hivi karbuni.Hamuenei kwenye viti vyenu kabisa sisi sio wakusubiri siku zote hizo.Mnamuangusha muheshimiwa JPM hamuendani na kasi yake.Mungu awabariki ila mnatutesa sana fanyeni kazi aiseeeeedd