Ndugu wanajamvi hawa Bodi ya mikopo (HESLB) wanasikitisha sana.
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, mkopo wangu ulienda UDSM wakati mimi nimechaguliwa chuo kingine.Cha ajabu tokea nianze chuo huwa kuna utaratibu kila baada ya miezi miwili kupata pesa but mpaka sasa nimepata Mara moja tu ile Quarter ya pili ambayo ni Tsh 524,000.
Ile ya Quarter ya kwanza walidai ntaipata semester hii tukifungua.Sasa tumefungua chuo tangu Jumatatu but mimi niko Dodoma leo ndo nakuja Dar.
Leo nilimtuma jamaa yangu Bodi ya Mikopo na alinijibu kuwa ameambiwa bado UDSM hawajarudisha pesa zangu.Nimesikitika sana kwa majibu ya hao watu wa malipo second floor pale HESLB lakini nawaambia majibu hayo muda si mrefu yatawagharimu.
Mimi nina madeni makubwa nimekosana mpaka na rafiki ,ndugu zangu sababu kubwa wao kwa sababu nimekopa pesa sijawalipa. Mungu ni mwema na muda si mrefu watatumbuliwa tena natoa utabiri.
Idara ya malipo HESLB ni wavivu, wajuaji na wazembe.