Toka mitandaoni nenda huko JKT, we bado mdogo sana na mmezoea kula vyakula laini. JKT lazima uende tu, ukabebe mchanga wa kilo 20 mgongoni na ukazurule nao kwa siku nzima, utadumu zoezi hilo kwa mwezi mmoja na zigo hilo utalishusha wakati wa kulala tu. na hiyo mikono ambayo miaka hii tunashindwa kutofautisha kijanja cha mwanamke na cha mwanaume basi nayo utaitumia sana kwa kulima ili uwe mkakamavu uache kupakaa poda,lotion na kushinda mitandaoni kuchat na baba zako. nenda kapige upale ukapendeze, jeshini utaenda wala usisubiri ushauri wa kukufariji!!!. Ukirudi toka JKT utaendelea na ujinga wako kama ulivyo post leo!
dah thanks kwa kunipa ya uchungu!Toka mitandaoni nenda huko JKT, we bado mdogo sana na mmezoea kula vyakula laini. JKT lazima uende tu, ukabebe mchanga wa kilo 20 mgongoni na ukazurule nao kwa siku nzima, utadumu zoezi hilo kwa mwezi mmoja na zigo hilo utalishusha wakati wa kulala tu. na hiyo mikono ambayo miaka hii tunashindwa kutofautisha kijanja cha mwanamke na cha mwanaume basi nayo utaitumia sana kwa kulima ili uwe mkakamavu uache kupakaa poda,lotion na kushinda mitandaoni kuchat na baba zako. nenda kapige upale ukapendeze, jeshini utaenda wala usisubiri ushauri wa kukufariji!!!. Ukirudi toka JKT utaendelea na ujinga wako kama ulivyo post leo!
Taratibu kijana!, siku hizi naona "WANAUME KAMA MABINTI" alisemaga jide enzi hizo. Hata ww utakuta una mikono laini zaidi hata ya mkeo, ha ha haaaah!.Dundo_boy saidi. Acha kujikuta Mgumu wakat we n mrembo tu.. Ushaur n mzur ila sio wa kishf km huo tena ww inaonekan kipind hcho ulikua n mmoja kati y WAKE wa maafande...
Tunabana matumizi.hiyo hela ya jkt tutapangia kazi nyingine.Wewe nenda acha siasa na lazima muende jkt mkahenye andaa nguvu usipoenda kwenye ajira itakuja kukusumbua mbeleni
wasalimie huko.dah n noma
Matumizi gani....maana hata nauli unayoenda nayo utarudishiwa...mavazi utapewa...chakula tena chakutosha ingawa badae utaona km hakitoshi..bado watakupiga na posho juu ya matumizi madogo madogo...jiandae tu jeshi ni wiki sita za mwanzo ukishamaliza hizo utafurahi sana tena itafikia kipindi hautatamani hata mmalize.Tunabana matumizi.hiyo hela ya jkt tutapangia kazi nyingine.