Chuo cha kodi cha TRA, hivi kuna ukweli wahitimu wake wakimaliza tu, ajira hapohapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha kodi cha TRA, hivi kuna ukweli wahitimu wake wakimaliza tu, ajira hapohapo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by C Programming, Feb 6, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Wadau kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma chuo cha kodi cha tra cha mikocheni hivi ni kweli mtu akimaliza anapewa ajira moja kwa moja kama mtu amesoma pale basi au ana ndugu yake atujuze ili tufahamu kama kuna ukweli wowote ndugu yangu asije kuingia chaka
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mkienda kusoma wanafunzi 1,000 na wote mkagraduate kwa mpigo mnapata ajira wote sababu mmemaliza pale?don't belive everything you hear or read,..changanya na za kinega
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mbona mimi nimemaliza hapo cheti chake hakijanisadia:yawn:
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Ok....sasa naelewa
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe naskiaga hvo,ila cjaconfirm bado.
   
 6. W

  Werema Chacha Member

  #6
  Feb 19, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 60
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  wapendwa ufaulu unaohitajika niwavp mm nina
  kiswahili c
  civics c
  english d
  biology d
  geography d
  history d
  chemistry d
  physics f
  maths f
  nisaidieni tafadhali
   
 7. Bitoz

  Bitoz JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2016
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 29,465
  Likes Received: 123,901
  Trophy Points: 280
  Tafuta chuo soma certificate/ diploma mdogo mdogo mpaka degree...sio mstokeo mabaya usireseat kwa ajili ya A level haina maana
   
 8. W

  Werema Chacha Member

  #8
  Feb 19, 2016
  Joined: Jan 7, 2016
  Messages: 60
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  sawa ndg yang na vyuo hvy vnapatkana mikoa gan na ada vp
   
 9. Ibrahim Rukiya Mapunda

  Ibrahim Rukiya Mapunda New Member

  #9
  May 23, 2016
  Joined: May 2, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Usisome ajiri ya kupata ajira , soma ajiri ya kuelimika na elimu hiyo uweze kujiajiri .
   
Loading...