Ndugu zangu bodi ya mikopo hili tatizo letu la mikopo ilioenda sehem nyingine na tulipochaguliwa mmefikia wapi kulitatua njaaa inatuuuma sana ,kuna wengine ni watoto YATIMA mnategemea waishije?Mlitoa ndani ya siku 60 mtakuwa mmetatua mbona mpaka sasa kimya?
NB:Ikifika juma tano ya wiki hii SAA sita mchana hamjaleta majina yetu tusaini tutaenda kwenye vyombo vya habari kueleza wapi mikopo yetu ilipoenda na kwa nini mpaka sasa hamjaileta tulipo. Tumechoka kusubiri mmetupa siku sitini ambazo ni nyingi sana tumesubiri lakini mpaka sasa kimya .Kimsingi kwa kutumia mamlaka yenu mngeweza kuagiza vyuo ambapo mikopo yetu imeenda wailudishe Mara moja Bodi kuliko kukaaa mnawasubiri,Vivyo hivyo mmeshindwa majukumu yenu pia mngeweza kuagiza vyuo tulivyopo kwa kuwa tayari sisi tunamikopo viweze kutukopesha ili tuweze kuendelea na masomo vizuri .
Sasa tumechoka kusubiri ikifika jumatano SAA sita mchana hamjaleta majina yetu tusaini tunaenda kuwashitaki kwa watanzania.