Naombeni msaada jinsi ya kulipia kwa mpesa kuapply mkopo

jrharakati

Member
Jul 13, 2015
37
1
Naombeni msaada wana jamii jinsi ya kulipa kwa mpesa heslb kila nikifika stage ya kuandika reference number ambayo ni 1 inagoma inaniandikia hivi utility number is wrong
 
nenda kwenye website yao ya mikopo heslb huko utapata utaratibu mzima..kila kitu kipo huko hatua za awali hadi za mwisho..!!! Goodluck
 
nenda kwenye website yao ya mikopo heslb huko utapata utaratibu mzima..kila kitu kipo huko hatua za awali hadi za mwisho..!!! Goodluck
Kwani system ya heslb ilishaanza? Saizi mtu unaruhusiwa kuomba?
 
Naombeni msaada wana jamii jinsi ya kulipa kwa mpesa heslb kila nikifika stage ya kuandika reference number ambayo ni 1 inagoma inaniandikia hivi utility number is wrong
Mbona mna haraka saana nyie vjana, kwani hao heslb walisharuhusu kufanya application za mkopo hadi uulizie reference number? Subiri
 
mbona website bado haijafunguliwa we kuwa na subira wakifungua ndo utaona kila kitu we unawahisha mambo wakat bado
 
Bado mfumo wa mkopo haujafunguliwa,kama ukiingia katika tovuti ya heslb pale kwenye kibox cha bluu yenye maandishi ya Online Loan Application System (OLAS) ->Click here ukibonyeza hai-respond(haishtuki)
Kinachoendelea ni ukusanyaji wa madeni ya mkopo.
 
Samahani mkuu kama ntakua nimekukosea nashukuru kwa kunijuza maana watu walinipanikisha wakasema tayr wameanza

Halafu usipende kukimbilia mikopo we kijana, Madeni sio kitu kizuri. Vuta pumzi, kunywa maji, subiri taarifa rasmi.
 
Back
Top Bottom