jrharakati
Member
- Jul 13, 2015
- 37
- 1
Kozi gani ambazo mtu aliyemaliza HGL zinamfaa na zina soko kwenye ajira na mkopo uezekano wakupata
What about sheria? Jielekeze unakoweza kujiajili!Education,education & education.
Hivi library za vitabu bado zipi (samahani haya mambo ya electronic information management imetuua!) Nasema hivyo maana kuna vitabu viko kwenye electronic version unalipia unasomaOh nilisoma hgl, nikachukua info science and library. Sijajua Kama Kwa sasa ina ajira kama kipindi chetu
Sheria ni njema ila ishu ya mkopo n probability.What about sheria? Jielekeze unakoweza kujiajili!
Nadhani kama akienda chuo cha serikali UDSM ada ni ndogo kwa kiasi fulani ! Bado nona sheria italipa maana wanasheria wa sasa ( hasa veterans, wazee) wana shida zao kiasi akitokea mtu competent atapata mkate wakeSheria ni njema ila ishu ya mkopo n probability.
Vipi kuhusu project planning and management na Human resourcesNadhani kama akienda chuo cha serikali UDSM ada ni ndogo kwa kiasi fulani ! Bado nona sheria italipa maana wanasheria wa sasa ( hasa veterans, wazee) wana shida zao kiasi akitokea mtu competent atapata mkate wake
Hataki education unamsaidiaje mkuuEducation,education & education.
Ni sawa lakini kwenye areas kama hizo you need an exttrra ordinary competence mpaka mtu/shirika lije kukupa kazi ya planning ya hizo projects, siyo kazi rahisi. Nakumbuka yule mama Lizy ambaye aliletwa kama mshauri wa sheria ya ardhi ya 1999 wakati wa drafting ya bill, ni mama of the highest caliber ever. You need to attain such competence! Can you get such training in our colleges one can go to that level!Vi
Vipi kuhusu project planning and management na Human resources
Nashukuru mkuu kwa wwe ungemshauri akasomeee nni?Ni sawa lakini kwenye areas kama hizo you need an exttrra ordinary competence mpaka mtu/shirika lije kukupa kazi ya planning ya hizo projects, siyo kazi rahisi. Nakumbuka yule mama Lizy ambaye aliletwa kama mshauri wa sheria ya ardhi ya 1999 wakati wa drafting ya bill, ni mama of the highest caliber ever. You need to attain such competence! Can you get such training in our colleges one can go to that level!