Fred Frank
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 296
- 118
Mimi nilimaliza kidato cha sita mwaka jana, mchepuo ni CBG na nikapata merit ya 3.0. Nataka niombe mwaka huu st john's- Bsc in nursing na pharmacy. Je ninaweza kupata? Na je niweke vyuo gani kwa kozi za afya kwa kuzingatia hali yetu ya nyumbani? Maana mimi mtoto wa wenye kipato cha chini.
Ahsanteni na nahitaji ushauri wenu plz
Ahsanteni na nahitaji ushauri wenu plz