Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 473
- 4,889
O
Umeliwa,hawajaanza kupokea maombiNdugu zangu naombeni msaada wenu
Leo nilikuwa nalipia fomu Bodi ya mkopo
Kupitia ile njia ya OLA
Katika kujaza nimekosea mwaka Badala ya 2013 nikaweka 2016
Je nawezaje kubadili hii taarifa au ndiyo niandike maumivu?
Coz nimelipa Tsh 30,000/-
Je nilipe tena nyingine ama kuna namna ya kusahihisha nilichokosea?
Wakuu naombeni msaada wenu
Mwenye namba ya simu au Email address
Au namna yoyote tafadhalini nisaidieni mwenzenu
Fomu uliitoa wapi?Rafiki nilikutana na taarifa inayosema kuwa
Wameruhusu tangu Tar 19 mwezi huu
hadi Tar 30 mwezi ujao
Mh ile c ya 2015/2016 au hujaisoma vzuriForm si kwa sasa kuna njia ya
OLAS?
Ndugu zangu naombeni msaada wenu