specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Jionee kizazi hiki kilivyofundishwa ufisadi toka vyuoni,Ajabu na kweli.....sipati picha wakiwa kazini hawa watu....
Yaani mwanafunzi unafoji malipo ya ada?
Hawa watu ilibidi wafutiwe vyeti ndio iwe fundisho kwa wahuni wengine.
==========
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anatoa taarifa kwa wahitimu wote waliomaliza Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi ya Dodoma waliohusika na kugushi Risiti za malipo ya ada. Wahitimmu hao wanaagizwa kulipa ada hizo kabla ya tarehe 31 Mei, 2016.
Kwa yeyote atakayekiuka agizo hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake; ikiwa ni pamoja na kufuta Tuzo za vyeti vyao vya kuhitimu Chuo cha Elimu ya Biashara na kuvibatilisha.
Ifuatayo ni orodha ya wahitimu walioghushi malipo ya ada:-
Waliogushi malipo lakini hawajachukua vyeti
[URL='http://cbe.ac.tz/wameshachukua-vyeti']Waliogushi malipo na walishachukua vyeti[/URL]