Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wakuu salamu
Naombeni kuuliza lini post zitatoka kwa mwenye tetesi anaweza tuambia pia je wanafunzi wataanza kufanya maandalizi lini na ningependa kujua process za uhamisho ukipangiwa shule hauko tayari kusoma