Naomba ushauri kuhusu JKT

mafrey

Senior Member
Nov 26, 2015
107
10
Habari zenu mimi ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa jeshin nina tatizo la kuanguka ambalo halitambulik hospital je nikienda jeshin halafu ikanitokea watachukua hatua gan? Pia naweza kutafuta uhamisho wa kwenda ruvu kabla sijafika nilkopangiwa maana nimepangiwa kigoma plz naomba ushaur wenu kuhusu hili
 
Maelekezo yote yametolewa kwenye tangazo kuwa wenye matatizo yoyote waripoti kambi ya jkt ruvu pwani
 
Nenda dogo ukale kazi andaa nguvu kunywa maji mengi roho ielee acha mtelo kule ni kwenye kazi za watu ukitinyanga utakubali tu kaharibu kazi za watu uone
 
Pole sn tatizo lako lako linapona usijali tafuta watu wakuombee ili next time usiwe na maswali mengi kuhusu lolote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom