jojujonicas
Member
- Aug 22, 2012
- 46
- 36
Naomba kujuzwa juu ya hili swala,
Je kuna taasisi yoyote yenye kudhamini wa shahada ya uzamili hapa Tanzania?
Kama wanaofisi zao mahali ama wana anwani yeyote inayo fahamika naomba msaada kuwapata maana nina haja ya kudhaminiwa ili kujiendeleza na masomo ya udhamili katika diplomasia ya usuluhishi wa migogoro na utetezi wa amani.