Msaada kwa aliyewahi kusoma Malawi

Bariki Blessy

Member
Nov 5, 2015
16
3
habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada naomba kwa waungwana wenzangu watanzania wenye moyo wa upendo
 
Ukiachilia mbali kuwa ndiyo nchi inayoongoza kuzalisha bangi / bange kali kwa ukanda huu sikujua kuwa kumbe na wao ( wanyasa ) wana Shule huko kwao! Hata hivyo vuta subira waliowahi kuishi huko sasa hivi wanakuja.
 
habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada naomba kwa waungwana wenzangu watanzania wenye moyo wa upendo

Kama utakwenda kusoma huko basi masomo mema mkuu, ila unaporudi likizo naomba uniletee zawadi ya ile mimea, viroba sambamba na bidhaa iliyoadimika sana nchini kwa sasa. Nitakuepo UYOLE nikikusubiri.
 
Ukiachilia mbali kuwa ndiyo nchi inayoongoza kuzalisha bangi / bange kali kwa ukanda huu sikujua kuwa kumbe na wao ( wanyasa ) wana Shule huko kwao! Hata hivyo vuta subira waliowahi kuishi huko sasa hivi wanakuja.[/SIZE][/FONT][/QUOTE]
duh! naona upo kwenye uborA wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom