Msaada kuhusu kozi ya awali ya ualimu (bridging course)

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Kuna vyuo vya ualimu vinatoa matangazo kuwa, iwapo mtahiniwa hana sifa za ufaulu kuingia stashahada (diploma) atasoma kozi fupi (bridging course) baada ya hapo atakuwa na sifa ya kuendelea na diploma. Naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa wa hili suala.
 
Kwel hata mimi nmesikia hlo japo NACTE (CAS)hawajataja kigezo hicho!
Kuna haja ya kuwekana wazi juu ya hili!
 
Nimekutana na mzazi ambaye naye kaambiwa na chuo kimoja kwamba ukisoma (Bridging course) au basic course utadahiliwa (CAS) km mwalimu anayejiendeleza (In service) hapo ndo imekuwa ngumu kwangu mana sielewi kwa vipi mhitimu aliyedahiliwa km anajiendeleza atapata ajira ya moja kwa moja ya ualimu.
Wadau naomba michango yenu.
 
brige course ipo tembelea tovuti ya nacte uangalie vizuri hicho kigezo cha kusoma brige course wamekielezea vizuri... kwa naelezo zaidi tembelea chuo cha ualimu kilicho karibu yako hasa cha serikali ili uwe na uhakika zaidi.. au njo inbox
 
Back
Top Bottom