goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Naomba mnijuze tafadhari, hivi katibu tawala mkoa anaweza azuie (asipeleke tamisemi)barua ya kibali cha mtumishi anaeomba kuhama tena kwa kubadilishana kwa sababu yoyote ile ikiwa taratibu zote za uhamisho zimefuatwa na kusainiwa na wakurugenzi wa pande zote yani utokako na uendako na vibali pia kutolewa pande zote mbili!!?