Naomba kujua ni kweli mwalimu wa degree mwenye carring over anaweza ajiliwa?

Nov 20, 2015
29
23
habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu
hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin hakugadurate kwasababu ya kuwa na carring over ila fomu za ajira alishajaza je anaweza kuajiliwa maana najua kuwa wa diploma hawez ajiliwa i'll appreciate any kind of comment but please don't insult it better to remain silent.
 
Unaajiliwa ila kwa magumashi sana sema vizuri na afsa utumishi
 
Huyo hawezi ajiriwa,yeye si alikua anakesha billicas wakt wenzake waliwakikesha kwenye lecture rooms,
Kwanza mpaka anapata carry over atawezaje kazi yenyewe
 
kupata carring over sio kuwa ni kilaza ila elimu ya chuo waweza ukawa hauelewan na lecture akaamua kukukomoa
 
chuo huwa kinatuma graduants wake serikalini so kama hujagraduate hakuna jina lako kwa watakaopangiwa kazi.ila mpe moyo hata mwakani atagraduate c mbaya....ni maisha tu ya shule
 
mpe pole sana..huko serikalini kuna mfumo unaitwa lawson yani wenyewe hautambui kitu kingine zaidi ya cheti au transcript..sasa we uliyecarry over una transcript au cheti kwani?
 
habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu
hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin hakugadurate kwasababu ya kuwa na carring over ila fomu za ajira alishajaza je anaweza kuajiliwa maana najua kuwa wa diploma hawez ajiliwa i'll appreciate any kind of comment but please don't insult it better to remain silent.

Huwezi kusema mwenye carry over ana degree! huyo bado mwanafunzi wa chuo lolote linaweza tokea anaweza disco. in short private school anaweza pata temporary job lakini serikalini hawezi maana bado mwanafunzi na serikali haiajili kabla ya kumaliza chuo.
 
Mpe pole jamaa yetu, kwa sababu sio kwamba kila aliyepata carry over alikuwa hasomi. Ila ukweli ni kwamba hataajiriwa, kwa sababu ukiangalia saiz walimu ni wengi, kwahiyo sidhan kama atapokelewa bila kuwa na vyeti.
 
Kama ambayo wameshasema baada ya wachangiaji humu, mtu ambaye amebeba kozi bado si mhitimu wa Chuo Kikuu,yeye bado ni mwanafunzi na atatambulika hivyo. Objectively speaking, mtu huyo hawezi kuajiriwa hususani na serikali. Ni lazima afaulu kwanza kozi aliyobeba (carried over course) ndiyo atambulike kuwa anashahada.

Nasema "objectively speaking" kwa sababu nimeshasikia kuna watu wa jioni hiyo wameajiliwa. Kama ni kweli basi hapo kuna "subjectivity in treatment" kwa maana ya undugu, pesa au makubaliano mengine yenye uelekeo wa kifisadi. Ningepata fursa ningemshauri huyo nduguyo (yaani kama kweli sio wewe mwenyewe) kuwa mvumilivu na kusoma kwa binti zaidi na pia kuepuka mazingira ambayo yatamgonganisha na wahadhiri wake wasije "wakamshughulikia" tena kwa "kumkerisha kozi" (kama kweli hili jambo lipo vyuoni).

Ni hayo tu, asante.
 
Hawezi ajiriwa Mkuu kwani baada ya kuripoti halmashauri walimu wote wanatakiwa wafike na original certificates zote kwenye usaili na wathibitisha ili mwajiriwa asajiliwe na kuwekewa faili na kufuata taratibu zingine za kupangwa kituoni nk....hivyo huyo MTU arudi chuo mpk akamalizie kwanza!!
 
kwahyo.,aliyehitimu bila kufanya graduation haajiriwi? Acha kupotosha umma

kama umeshaclear kila course lazima jina lako litaonekana kwenye list of graduants ya mwaka husika na hiyo list ndo inatumwa huko wizaran.

so mufanya graduation ni maamuzi wako ndo maana wanavyotunuku hizo degree huwa wanasema wanatunuku kwa wale waliopo na wasio kuwepo mahala hapo may be waweza kua umelazwa or kwasababu ya harakati zakimaisha umeshindwa kuhudhuria.
 
Ataajiriwa kwa Qualification gani? maana carry over maana yake haja graduate, atatakiwa ku clear kwanza, hata huyo jamaa aliyesema eti akaseme na Afisa Utumishi anampeleka chaka mwenzie, maana utawala huu wa sasa hautaki magumashi. Pia hakuna atakayekubali kutumbuliwa kijinga hivyo,kwani hata TCU hujasikia yaliyotokea? ni hako hako kamchezo ka kudahili watu wasio na sifa nakuwapa mikopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom