Nursing diploma walioapply

gilmanywele

Member
Aug 17, 2015
53
15
Habarini wanaJF.

Hivi kwa wale walio-apply diploma in nursing (in services) kwa ajili ya ku-upgrade mwezi April, kuna ambao walitumiwa email kuwa watume tena barua za udhibitisho wa kazini nk.

Ndugu yangu hakutumiwa hiyo email na mwisho wa kutuma hizo barua inaonesha ni mwisho wa mwezi huu wa May. Kuna namba ya simu ya mkononi ya NACTE ambayo ilikuwa ukipiga inapokelewa na mama mmoja ila nimei-misplace.

Tafadhali mwenye hiyo namba naomba anisaidie au mwenye uelewa zaidi wa suala hilo la barua naomba msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom