Natafuta shule ya kufanyia field wilaya ya Ubungo

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
habari za majukumu wakuu?
kama title ya uzi inavyojieleza, mm ni mwalimu-mwanafunzi nasoma bed with math and IT. natafuta shule hususani shule ya binafsi iliyopo ndani ya wilaya ya ubungo kwa ajili ya kufanya field mwezi wa saba! naomba kama kuna mwenye kufaham shule yoyote au mwenye mawasiliano ya shule yoyote inayoweza kunipokea anisaidie tafadhali.
nawasilisha!!
 
....mjomba,unatakiwa uandike barua utume kwenye shule ambazo wewe utaona zinakufaa kwa ajili ya hiyo field,ndivyo ilivyo, wala sio habari ya kuunganishwa huombi kazi!,kwa experience yangu mara nyingi majibu huwa safi,wala usihofu!
 
habari za majukumu wakuu?
kama title ya uzi inavyojieleza, mm ni mwalimu-mwanafunzi nasoma baed with math and IT. natafuta shule hususani shule ya binafsi iliyopo ndani ya wilaya ya ubungo kwa ajili ya kufanya field mwezi wa saba! naomba kama kuna mwenye kufaham shule yoyote au mwenye mawasiliano ya shule yoyote inayoweza kunipokea anisaidie tafadhali.
nawasilisha!!
Wilaya ya ubongo?! Ni nji gani ipo mkuu
 
kweli mkuu
Kwa hapo fuata ushauri tu wa kutafuta shule nzuri na kuandika barua.

Vyuo kama UDSM huwa zinawekwa shule kwny mtandao kisha kila mmoja anachagua shule aitakayo ktk mkoa wowote.
ni kweli mkuu na wengi wetu hasa tunaotafuta kwa hapa dar tumepata changamoto kubwa kwani shule nyingi wanatuambia tayari nafasi zimejaa kwa sababu washaingia makubaliano na vyuo kama udsm kupokea wanafunzi wao
 
Kinondoni
Temeke
Ilala
Ubungo
Kigamboni
Hizo Ndiyo Wilaya Za Dar es Salaam Kwasasa
Naona Mwl Mwanafunzi Amejaribu Kuchokoza Mada
Andika Maombi Peleka Hapo Loyola Secondary Ipo Jirani Na NIT
 
asante mkuuu.... mpaka nimefikia hatua ya kuandika uzi huu nimejarib shule nyingi haza hiz ambazo ni popular za hapa jirani na chuo wanadai hakuna nafasi ndo maana nahaha hapa
 
Back
Top Bottom