Msaada kuhusu TCU

Advicer

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
560
281
Wadau nina mdogo angu hapa anataka kuupgrade kutoka certificate ya nursing kwenda diploma kwa vyuo vya in service.

Week iliyopita alitumiwa email kuwa atume leseni ya tnmc na transcript sasa katika kuupdate hivo taarifa zake ilitakiwa kucombine data zote kwenye page moja ila sasa walipokuwa wanaaply walikosea kilichotokea baada ya kuaaply vyote, yeye wakaapply kimoja tu then profile ikaclose ikaandika NOT APPLICABLE (NA) na imekaa hivo kwa muda sasa kitu kinachomtia sana wasiwasi bwana mdogo.

Naomba msaada wenu hapa wajuzi wa mambo kuwa hii inawezaje kutoka na yeye akaweza fanya tena kutuma hizo data,maana tarehe za application zinaenda ukingoni hivi
NATANGULIZA SHUKRAN ZA DHATI
ASANTENI
 
Back
Top Bottom