TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
tangu ningali mdogo nimekuwa nikiyasikia nakuyatumia maneno haya hesabu' na 'hisabati' lakini naomba nikiri wazi kuwa hadi leo sijui tofauti yake na sijui kama nilikuwa nikiyatumia kwa usahihi,kwa kuwa elimu haina mwisho basi naomba ufafanuzi kwa yule anayefahamu.