ikishaitwa MUCE sio UDSM tena.
MIM BADO SIWASOMI FRESH TCU,KWANIN WASIONYESHE KWENYE PROFILE ZETUUUUUUUUUUUUU!:wave:
jaman wale2liopangiwa udsm-muce 2kutane hapa
jaman wa MUCE au nimechaguliwa peke yangu!
ushanunua masweta ya kutosha wangu!?
ualimu fani nuksi hii
mimi naenda kama nilivyo
mbona chet na ktambulisho kinaandkwa udsm pia hata code yake n udm 04
bax mpenda sifa ni umechaguliwa UDSM.. kwa hiyo unataka msaada gani?
umpe hongera
weeeh! we jishaue tu, baridi ya kule haina masihara, unaweza ukajikuta umeganda shauri yako!
bax mpenda sifa umechaguliwa UDSM.. kwa hiyo unataka msaada gani?