Vyuo vya Pharmacy na ada zake

Vyuo vya Pharmacy na ada zake

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,808
Wakuu,

Hii system ya kuapply TCU au NACTE inawaacha wengi wapendao kusoma kukosa fursa. Mfano kigezo cha kusema waapply kwa diploma waliomaliza kidato cha sita kuanzia 2008 inawanyima fursa wa miaka ya nyuma kukosa fursa ya kusomea vyuo hivyo.

Naomba kusaidiwa majina ya vyuo vya Pharmacy na Clinical officers nchini na bei yake viruhusuvyo hata watu wazima wa miaka ya nyuma ya 2008 kusoma.

Asante!
 
Back
Top Bottom