Msaada: Je naweza kuchaguliwa chuo cha serikali kwa matokeo haya?

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
67
Nilimaliza form 4 mwaka 2006 nikapata BCC katika mchepuo wa PCB.

Kidato cha 6 nikapata S flat katika PCB, mwaka huu nimeapply NACTE stashahada ya CO na Medical Laboratory.

Je, naweza kupata chuo cha serikali.

Nimetingwa wakuu, naombeni mawazo yenu.
 
Private unaeza pata..mfano mzuri KAM COLLEGE
 
Back
Top Bottom