Habari wana JF,
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne 2015 na nina daraja la kwanza katika matokeo lakini kwenye zile form za kujaza nimeweka college ndo first selection.
Je, yawezekana...
Habarini wana jf,ningependa kusoma bvm sua matokeo yangu ni kama ifuatavyo gs-s geo-d chem-e bios-c o bam-f,o level nilipata one ya 16 chem-b bio-b phys-b math-c-engl-b na mengine yaliyobaki...
Habari wakuu,nimeamua niandike huu uzi kwa sababu nimepitia nyuzi zingne katika jukwaa letu hili la elimu,nimeshangazwa kuona karibu zote zinazungumzia Chuo kikuu cha DSM.just imagine jamani hadi...
Post za kidato cha tano zimetoka ingia tamisemi.
=======================
TAARIFA KWA UMMA
OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya...
Igweeeeeeeeeeee,,,,
Ndugu wanajamvi mpaka sasa watoto Wa masikini wanasoma chuo cha institute of adult education hawajasaini pesa zao za maraz.
Ndugu zangu vijana wanateseka sana nyuso zao...
Habarini wakuu,
Samahanini wakuu nimemaliza certificate ya pharmacutical assistant mwaka jana nahitaji kuwa registered pharmacy council naomba kuuliza maswali machache.
1. Naomba kujua procedure...
Hivi bodi ya mikopo haitambui kuwa form six waliomaliza wanaenda jeshini na kama wanaenda wataanza vipi hizo process za kuonana na Hao wenyeviti wa mtaa na vilevile mnataka waende na zile nyaraka...
Kuna vyuo vingi havijapata pesa ya kujikimu 'bum la 4' mpaka sasa. Kuna tetesi zinasema mpaka HESLB wapite kila chuo kufanya ukaguzi.
Jamani tutakufa na njaa
habari wana jamvi? napenda kuleta mada hii mbele ya jamvi kwa maana baadhi yetu tumeshindwa kufahamu nini maana ya chuo bora(sifa za chuo bora) wengi wetu tukidhani majengo yanafanya chuo...
Habarini wakuu,
Jaman naombeni maelekezo ya msingi namna ya kujirejista kusoma CPA. Gharama na vitu vya msingi ambavyo nitapaswa kuwa navyo ni vipi?
Asanteni.
Wakati Chuo kikuu kikongwe hapa nchini UDSM kikiporomoka kwa ubora na kufikia namba 37 wenzao wa University of Nairobi wameshika nafasi ya 7 nyuma ya vyuo Nguli vya South Africa na Cairo...
Wakuu mimi ni mwanafunzi wa Ardhi Institute Morogoro, registration number ARIMO/MG/GMT201585. Tunaanza mitihani ya mwisho ya semister tarehe 20/06/2016 lakini tatizo langu nimekwama ada ya...
Niliona jina la kozi iliyotajwa hapo juu kwenye orodha ya kozi za afya kwa walioomba kupitia NACTE.
Je,wanaohitimu hiyo kozi wanaajiriwa kufanya kazi gani? Wanalipwa mshahara kiasi gani? Ajira...
Habari wanaJF,
Kwa masikitiko na uchungu mkubwa kumpoteza Dr Pascal Semkiwa ambae yeye ndiye alikuwa Mtanzania pekee mwenye PhD ya Coal Geology.
Sasa Serikali imeadhimia kutafuta vijana 5 wenye...
Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA,
Bachelar of Science and Information Technology with Education.
Ufafanuzi tafadhali,Unasomea vitu vingap hapo?
Baada kuhitimu unafanya kazi gan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.