kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 439
- 649
Wadau wa jf!
Natumai mko poa sana, naomba niulize je kuna Mdau yoyote aliyebahatika kupata full scholarship kusoma phd kwenye Scandinavia countries , Kama yupo naomba anishushie data alipataje pataje, nina ndugu yangu anapenda kwenda kusoma kwenye hizo nchi