Wazazi/Walezi: Tuwakumbuke watoto wetu siku za visiting day.

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,782
4,108
Salaam wana-Jf.

Leo nimefanikiwa kumtembelea binti yangu ktk shule ya english medium iliyopo hapa kilimanjaro.

Shule hii ina wanafunzi wapatao 400s lakini cha kushangaza wazazi na walezi walikuwa wachache sana.

Tofauti na hilo baadhi ya watoto ni wadogo sana na hawakutembelewa kabisa na wazazi/walezi wao hali iliyowasononesha sana zaidi wakati wenzao wakiwa na familia zao wanakula mapochopocho. Kwa unyonge walielekea jikoni kula wali maharage.

Wito wangu kwa wazazi: Mnavyowatelekeza watoto wadogo ktk shule hizi hawatojifunza upendo na wanaweza kuwatelekeza pia ktk uzee wenu.
 
Atakuwa mtt wako wa kwanza uyo

Kuna Dada angu alikuwa hakosagi kumtembelea mtt wake wa kwanza
Ila walipofika watatu naona maji yalizidi Unga akawa anapotezea tu
 
Unaloonge ni kweli kabisa...hasa kama wnatoto ni wadogo,wakishakua wakunwa kidg wanaweza ku reason mambo na wakajua hujaenda kwa sababu unebanwa na hawatoumi...ila wadogo uwezo wa kuchanganua mambo mdogo...moja kwa mona suala la upendo ndo litakua point yake
 
Back
Top Bottom