TCU kufanya uhakiki wa taarifa za wanafunzi Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,395
24,969
Tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) itapitia taarifa za wanafunzi wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji(TECU) hasa vigezo vilivyotumika kudahiliwa chuoni. Wanafunzi wote wametakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya shule ya sekondari kwa vidato vya nne na sita na vyeti vya stashahada kabla ya Juni 04, 2016.

Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea wanafunzi hao kuondolewa vyuoni.
13307485_1359627454053277_5623950820319136485_n_2-jpg.353694
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1464946502511.jpg
    uploadfromtaptalk1464946502511.jpg
    49.2 KB · Views: 493
Back
Top Bottom