Msaada kuhusu kuapply TCU

terrat

JF-Expert Member
May 6, 2015
204
100
Wakuu heshima zenu!

Naomba kuuliza tafadhali;
Mimi nimemaliza diploma in education Mount Meru University, sasa ninataka kujiunga na degree.

Kwa anayefahamu au aliyesikia tangazo la TCU kuhusu wanafunzi wapya hasa equivalent kama mimi anijulishe kuapply ni lini ili nisichelewe.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom