Tofauti kati ya MD na MBBS

Nani James

Member
May 25, 2016
82
27
Wakubwa naombeni kujua tofaut kat ya MD (medical doctor) na MBBS (bachelar in medicine and bachelar in surgery) na je kama kuna tofauti ipi iko juu zaid na ni vyuo gani Tz au dunian kote vinatoa kozi ya MBBS na gharam zake ....ASANTENI
 
MBBS bachelor of medicine and bachelor of surgery , MD doctor of medicine ,sio tofauti sana ila kwa curriculum ya wanaosoma MBBS wakua vizuru zaidi kwenye surgery kuliko md thats what I know, kwa bongo inafundishwa IMTU , kama kuna mdau wa IMTU hapa atatujuza vizuri
 
daaa thnks cn kiref ch IMTU n nn braza
 
MD ina asili yake kule USA ambako wanafunzi kwanza wanapata degree zao (pre-medical ) za kwanza wengine hadi phd halafu ndio wanasomea udakitari. Kwa hiyo hii MD kule ni graduate degree. Kule UK ndio hiyo nyingine sasa swaga ya MD wengi waliipenda na kwa vile hata mwenye MBBS huitwa dakitari (ana ujuzi wa kutibu ) wengi tukapiga short cut na kutumia MD kwa degree ya kwanza. Kwa huku kwetu therefore hamna tofauti kati ya hizo degree. Kwa nchi nyingine ni vitu tofauti.
 
vp mshahara wake ni mkubw ; mdog au ni sawa tu n MD
 
Back
Top Bottom