Kusomea masters UDSM au Mzumbe

jacks76

Member
Jun 4, 2016
23
6
Jaman naomben ushaur wenu, nataman kusona Masta ta business in account and finance chuo kip ni kizur kat ya udsm na mzumbe? Na ada ya kusoma full time ikoje!?
 
Jaman naomben ushaur wenu, nataman kusona Masta ta business in account and finance chuo kip ni kizur kat ya udsm na mzumbe? Na ada ya kusoma full time ikoje!?
Mmmh'mm napenda kam nikushauri ingawa cjui lengo la kusoma hyo masters nn...kam unataka ufanye masters ya account ni bora ukafanya CPA kulko hyoo hyoo masters maana CPA ipo juu kulko ata hyoo masters ya account,ila kam CPA unayo kwa nn usifanye masters ya course nyingne tofaut na account ili ikubebe zaidi kwnye CV yako..
 
Hivyo vyuo ulivyovitaja utamaliza masters kweli! btw Kacheki kwanza prospectus zao uone kama unaqualify, ada na mazagazaga yote yapo huko.
 
Hivyo vyuo ulivyovitaja utamaliza masters kweli! btw Kacheki kwanza prospectus zao uone kama unaqualify, ada na mazagazaga yote yapo huko.
Kwa nini asimalize master's yake?? Jibu kwa faida ya wengi
 
Mmmh'mm napenda kam nikushauri ingawa cjui lengo la kusoma hyo masters nn...kam unataka ufanye masters ya account ni bora ukafanya CPA kulko hyoo hyoo masters maana CPA ipo juu kulko ata hyoo masters ya account,ila kam CPA unayo kwa nn usifanye masters ya course nyingne tofaut na account ili ikubebe zaidi kwnye CV yako..
Una uhakika CPA iko juu ya master's degree? Unayajua malengo yake? Jibu kwa faida ya wengi
 
Una uhakika CPA iko juu ya master's degree? Unayajua malengo yake? Jibu kwa faida ya wengi
Namaanisha CPA ipo juu kuliko masters yoyote ya account...kama hauna CPA apa bongo ila masters ya account basi huwez compete na mwenye CPA..ila cjui kwa field zingne nje ya account..
 
Yaani Bachelor Degree graduate unauliza usome chuo kipi kwa MSc!
Wakati mwingine ni ngumu sana kuamini degree nyingi zilizo mtaani...
Yaani ukiambiwa mzumbe utaenda na kadhalika udsm.. msomi hujui unahitaji nini na wala hufaham lengo la unachotaka soma lakin pia hujui wapi utakapofanikisha?
Msomi ni tatifi na sio cheti,nlitegemea mpka unaamua kutafta Msc basi ufanye comparison ya resource availability,accessibility,excellence na performance kati ya vyuo hvo..
Usidhalilishe USOMI kwa kuuliza ushauri unaotakiwa majibu ya kisayansi ukatarajia majibu ya blaaaah.. blaaaah
Sijui desertation yako uliifanyaje wewe mtuma uzi..
 
Jua malengo ya kusoma master's degree kisha jua ni course gani itakufikisha kwenye malengo hayo, kisha angalia kozi hiyo inapatikana wapi, kisha google taarifa za kozi hiyo kwenye hicho chuo. Chuo ni ngazi tu ya kupandia lakini Kwa level ya masters maana yake unaweza kujifunza mwenyewe (master). Chuo kutakuthibitisha tu kuwa umefuata taratibu na ume-master unastahili cheti. Sio kuangalia chuo kwa jina na umaarufu, utalia siku moja na siasa za nchi hii.
 
Namaanisha CPA ipo juu kuliko masters yoyote ya account...kama hauna CPA apa bongo ila masters ya account basi huwez compete na mwenye CPA..ila cjui kwa field zingne nje ya account..
Kwahiyo unamaanisha anaesoma CPA na anaesoma Master's degree ya Accounting wana lengo sawa? And CPA iko juu ya Master's kwa kigezo kipi? Funguka zaidi
 
Kwahiyo unamaanisha anaesoma CPA na anaesoma Master's degree ya Accounting wana lengo sawa? And CPA iko juu ya Master's kwa kigezo kipi? Funguka zaidi
Hvi umesoma account au ulisoma course zingne tofaut na account?kam hukusoma account tafuta alyesoma account akuelezee zaid au nenda kwenye ajira za field ya account,weka masters yako ya account na mwenzio aweke CPA yake utajua naongelea nn.?apa naongelea account naona wew unaingizia na course zingne sijui
 
Hakuna course ya account bali zipo za Accountancy. Account ni kitu kingine. Ninyi vipi?
 
Hvi umesoma account au ulisoma course zingne tofaut na account?kam hukusoma account tafuta alyesoma account akuelezee zaid au nenda kwenye ajira za field ya account,weka masters yako ya account na mwenzio aweke CPA yake utajua naongelea nn.?apa naongelea account naona wew unaingizia na course zingne sijui
Nimeingiza kozi ipi nyingine? Unafananisha vitu viwili tofauti bila kujua malengo ya hizo kozi. Wewe ni CPA holder? Kawashauri walioanzisha Master's degrees za Accounting wafunge vyuo. Ukiweza urudi hapa tukupatie PhD ya usomi na weledi wa field yako.
 
Ninazungumza ninachokijua vizuri. Hizo Bcom na CPA na MBA tunazo na zina miaka zaidi ya 20. Hiyo CPA ilipatikana kwa flying colours. Ungekuja na heshima ungeshauriwa kuliko hata unavyofikiri.
Ukisahihishwa kosa la kweli kubali na sio kuvuta mdomo.
Unatuharibia taaluma zetu zinazotupa jina mjini.
 
Back
Top Bottom