Nitajuaje kiasi ninachodaiwa na HESLB?

Slaker

JF-Expert Member
May 11, 2012
237
28
Swali langu ni kama lilivyojieleza hapo juu?

Nitajuaje kiasi ninachodaiwa na Loans Board? Maana ni mwaka sasa tangu nimalize elimu ya juu na bado sijajua kiasi ninachodaiwa.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Unaenda kuwauliza. Unaweka admission no.chuo.course.mwaka unapewa hesabu lako.
 
Back
Top Bottom