Hii inamaanisha pande pili zinazotofautiaba katika siasa zake na hata ideology. Kwa kingereza wanasema "left wing and right wing" ni mfano wa chama tawala na wapinzani. Watawala ni right wing wakati wale wapinzani ni left wing. Nawasilisha.Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?