msaada wa ofisi za NSSF kwa walimu wanaokaribia kustaafu

binti wa kirombo

JF-Expert Member
May 17, 2016
847
959
Habari zenu waungwana

Naomba mnisaidie kwa nayefahamu ofisi za nssf kwa walimu (mafao) wanaokaribia kustaafu anielekeze tafadhali.

Na bibi yangu ni mwalimu mwakani anakaribia kustaafu kwahiyo kaniomba nieende nssf ya walimu nimuangalizie mafao yake na vitu vingine ..kwa kuwa ninyi huku kuna wadau wa elimu msaada wenu .Bibi anafundisha rombo
 
Back
Top Bottom