buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,303
- 10,119
Serikali kupitia TAMISEMI imesema kuwa madai ya watu mitandaoni eti ajira za walimu wa masomo ya Sanaa hazipo badala yake ni kuajiri walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati ni uzushi wa watu wanaotaka kuigombanisha serikali na walimu.
Imesema serikali itatangaza ajira za walimu baada ya bajeti kupitishwa hivyo walimu wawe wavumilivu.
Source: mwananchi
Imesema serikali itatangaza ajira za walimu baada ya bajeti kupitishwa hivyo walimu wawe wavumilivu.
Source: mwananchi