Naomba kuuliza mimi nimemaliza Form 4 mwaka 2012 nikawa na 28 mwaka nilichelewa kwenda kuchukua matokeo ivyo nikajikuta nimeshindwa kwenda chuo mwaka 2013 wakabalika na kuwa GPA nikashindwa ku apply mwaka jana 2015nimerudia masomo matatu nimepata c2 Je nifanyeje nipate hata chance ya kwend Diploma au nirudie tena ili niende Advance au nashindwa kuelewa nifanye je maana nasikia 28 waweza kwenda DPL and baadae kwenda UNV. so naomben ushauri wakubwa