Hivi walimu tumeongezewa kiasi gani kwenye bajeti hii?

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,737
Kwa walimu tu,

Hivi hii serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika bajeti ya mwaka 2016 imetuongezea sh ngap kwenye mshahara?
 
Wameshaanza tayari! Wakati mwingine heshima ya Mwalimu inashushwa sababu ya Mwalimu mwenyewe! Sasa humu kuna mwajiri wako!? Mbona askari, daktari, nesi, au kada nyingine za utumishi serikalini hazijaja kuulizia humu!? au wao hawana hiyo annual incriminate!? Tatizo Walimu mnatangaza njaa sana kwa kutafuta sympathy kuliko kudai haki jambo ambalo linawafanya kuonekana msiokua na maana tofauti na uhalisia wenyewe! Tatizo kubwa ni nyie wenyewe. (Maneno haya yanamuhusu sana mleta mada kama kweli ni Mwalimu na kama sio Mwalimu aache kuwasemea Walimu mambo yao sehemu ambazo sio rasmi)
 
Mkuu umeongea uhalisia,umenigusa,mimi pia mwalimu ila sipendi na sijawahi kulialia kama mleta mada,tatizo letu sisi walimu tunapenda sana kulialia mara oh mshara mdogo mara oh ualimu kazi ya vilaza,kama huwezi ualimu acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi.
 
Tumepunguziwa kodi kwenye bei ya chaki.

Kila mwl ajifunze jinsi namba inavyosomwa.
 
Njaa ikishafika kichwani huwa na tabia ya kubadirika sana,na hiyo inaweza kuwa tatizo kubwa ktk ufanisi wa jambo lolote.Ndo sababu walio wengi hatuna uamuzi sahihi hata kwenye mambo ya msingi.
 
Kuuliza wala sio ujinga. By the way kuna freedom of speech. Swali zuri kabisa na murua.
Kimsingi walimu hawajaongezewa chochote labda wanaoangukia kwenye punguzo la kodi la 11% to 9%
Ila kuna posho ya dukani ambayo imeongezwa kwa askari baada ya maduka yao kukumba na dhahama za kodi za nnji hii. Kwa kusema hivyo walimu hawana posho hata ya kula unlike soldiers wenye msululu wa posho kama food allowance, housing allowance, pango allowance, duka allowance plus umeme allowance na wengine wanazo mpaka call allowance.
Haya mambo ndo yanatufanya tutafakari sana hivi bado tunahitajika kufa ya kazi kwa bidii kama mwenzako ambae hata ile elimu na utaalamu umemzidi analipwa two times kuliko wewe mfano kwa wale walio sawa katika kima cha chini.
Wazazi wasiwe wanalaume wakati mwingine mjiukize hivi mnakuwa na moral gan authority ya kumlaumu mwalimu vilaza wanapoongezeka???
 
Wameshaanza tayari! Wakati mwingine heshima ya Mwalimu inashushwa sababu ya Mwalimu mwenyewe! Sasa humu kuna mwajiri wako!? Mbona askari, daktari, nesi, au kada nyingine za utumishi serikalini hazijaja kuulizia humu!? au wao hawana hiyo annual incriminate!? Tatizo Walimu mnatangaza njaa sana kwa kutafuta sympathy kuliko kudai haki jambo ambalo linawafanya kuonekana msiokua na maana tofauti na uhalisia wenyewe! Tatizo kubwa ni nyie wenyewe. (Maneno haya yanamuhusu sana mleta mada kama kweli ni Mwalimu na kama sio Mwalimu aache kuwasemea Walimu mambo yao sehemu ambazo sio rasmi)
nlishawah post kua wana jf wana kimbelembele sana nliuliza walimu sikuuliza wananchi rudi ujue kwanza maana ya forum then ujifunze kuchangia mada zinazokuhusu zisizo kuhusu pita vile naamini wanaojua kujibu au kuchangia mada watachangia "Magufuli" in Arusha voice
 
Jamani mi naona mshahara wa mwalimu ni mkubwa sana ninasikitishwa na wanaosema mwalimu ana maisha magumu kwa sababu eti ya mshahara mdogo, walimu tuliowengi akili zetu tumejitune kuwa mishahara mdogo hakuna mshahara unaotosha na kukidhi mahitaji yko yote cha msingi tuwekeze hicho kidogo tutapata kikubwa
 
We Mwalimu kwani unatofauti gani na watumishi wengine mpaka useme Walimu wameongezewa nini? Kwanini usiseme watumishi wa serikali wameongezewa nini? Hata hivyo,Mkuu alisha sema uchumi ukitengamaa hatawaangusha,kwasasa anapunguza kodi,hukusikia mdau?
 
nlishawah post kua wana jf wana kimbelembele sana nliuliza walimu sikuuliza wananchi rudi ujue kwanza maana ya forum then ujifunze kuchangia mada zinazokuhusu zisizo kuhusu pita vile naamini wanaojua kujibu au kuchangia mada watachangia "Magufuli" in Arusha voice

Hujielewi na kama kweli wewe ni Mwalimu, basi elimu yako fake
 
Back
Top Bottom