Mshahara wa diploma sekta ya afya

Popo bawaa

Member
Apr 19, 2016
47
2
Kwa mtu anaye jua mshahara wanao pata watu wa afya hususan wenye diploma za Nursing Pharmacy na Lab.technc..anijuze hilo na kozi ipi n nzuri zaidi kusoma
 
Mshahara ni TGHS B (610,000/-)
Koz nzuri ni ile unayoifeel, unless kwa msuli wa afya unaeza omba poooo
 
Back
Top Bottom