Wapi naweza kupata chuo cha urubani -Tanzania

Hujanielewa namaana gan vyuo vipo ila vyenye cpl na ppl ambavyo mfano wake ni kama class c ya magari na kama unataka mchongo wa kibabe ingia south ambayo si chin ya mil 50 za tz umenipata hapo
 
nit mbna hyo courz ipo ila sio uruban bali ni aircraft maintanance kuanzia cert, diploma & degree
 
Hivi kumbe inawezekana kuanza na CPL kabla ya PPL ??
Inawezekana ila sio bongo unaunganisha moja kwa moja kama mtu anayesoma diploma lakini kaingia kwa level ya kidato cha nne, muda wa cpl unazidi zaidi kuliko aliyetoka kwenye ppl then akaenda cpl
 
Inawezekana ila sio bongo unaunganisha moja kwa moja kama mtu anayesoma diploma lakini kaingia kwa level ya kidato cha nne, muda wa cpl unazidi zaidi kuliko aliyetoka kwenye ppl then akaenda cpl
Asante Mkuu
 
Back
Top Bottom