Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba nijuzwe kama mtu cheti kimepotea katika hari ya kuhama tu nyumba je unatakiwa ufanyeje ili uweze kutambulika kama ulikuwa nacho na ulishaombea chuo na bahati mbaya kimepotea kipindi unasoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana bodi.... Ninatarajia mwezi wa November mwaka huu nifanye mitihani ya "Chartered Institute of Purchasing & Supply" katika Level 4 "Diploma in Purchasing and Supply" Dhumuni la ku-drop...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuuu.kama apo juu kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naombwa kufaham chuo kizurii cha kujifunza udereva jijini mwanza, chenye facilities nzurii, pia endapo ntapomaliza...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nimesoma uganda sasa naitaji kusoma hapa chuo je unavyoomba NACTE baadae unapeleka cheti chuoni au kopi ya cheti?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana-jamvi. Katika kipindi hiki kumekuwa na ushindani mkubwa sana ktk sekta ya elimu hapa nchini. Ushindani huo upo katika utoaji wa elimu bora, ajira kwa walimu sambamba na ufaulu mzuri...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kipindi napatapata ufahamu juu ya masuala mtambuka kuhusiana na weledi wa ualimu nilipata kujifunza kuwa Elimu bora ni ile inayomfanya mtu(mwanafunzi) mara baada ya kuhitimu aweze au imwezeshe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I am a graduate of BSc Statistics and I am so much interested in becoming the health researcher (Bio-statistician), I do seek the advice from professionals of health over two matters; a) My...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Salamu kwa wanajukwaa, I am new but naamini mtanisaidia kuna chuo kinaitwa TAUC Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni kinatoa kozi za upilot kuna mwenye taarifa kuhusu hiki...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia tatizo la vijana wengi kukosa ajira serikalini na kwenye sekta binafsi hpa nchini nikaja kubaini kuwa sababu kubwa ni udhaifu wa mitaala ya kufundishia nayo ni chanzo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh, tunaomba selection ya form five itoke mapema, wazazi tujiandae maana kumekuwa na tabia ya kushitukiza wazazi. Ni hayo tu.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nisaidien kitu wataalam, ivi baada ya kusoma diploma ya nursing & midwifery je? Inawezekana kosomea degree ipi tofauti na nursing, ambayo ni nzuri zaidi, Asanteni..
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naombeni msaada wa kujua kiasi na mgawanyo wa mkopo kwa diploma ya science & mathematic teaching
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka kusoma Post graduate ya Insurance and Risk management online msaada wa vyou vya ndani au hata vya nje na fee structures if possible recommendations will be highly appreciated ONLINE TU please
1 Reactions
0 Replies
2K Views
hi guys, sorry i have these questions i real need your help to answer them or just give me an idea.i just want to know will i be able too get sponsorship for abroad studies,where should i go...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
1. HIV/AIDS HIV means Human Immune deficiency Virus and AIDS means Acquired Immune deficiency Syndrome. Causes of HIV The disease is caused by the retro virus called HIV virus. 1. Sexual...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye taarifa plz anijuze maana mi niko bush sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mwenye kujua chuo cha Bukoba Lutheran Teachers College – Bukoba anijuze kipo vipi Wakuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina diploma ya laboratory science and technology naweza soma bachelor medical laboratory [emoji780][emoji780]
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Kazi unayoifanya ni kubwa mno na unibua uozo katika bodi ya mikopo, uozo uliojificha miaka mingi, hongera na Mungu akulinde na akupe maarifa zaidi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukizingatia kwamba kuna shida ya ajira, pia chuo kipi kinafaa zaidi kwa kozi husika?
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Back
Top Bottom