Jiongeze mkuu tembelea hapa www.necta.go.tz utajua kila kitu
Jiongeze mkuu tembelea hapa www.necta.go.tz utajua kila kitu
Usihofu mkuu muda ukifika wataweka tangazo katika tovuti ya necta cha muhimu ni wewe uwe unatembelea mara kwa mara hiyo tovuti yao lakini nadhani itakuwa ni kuanzia mwezi wa sabanishatembelea sana mkuu tena mpaka email zao za maulizo ukiwatumia hawajibu kabisa ndo maana nikaoona niulize hapa kwa msaada zaidi
Sifa uwe na credit Tatu ya kombi unayoenda kusomaJe watahininwa wa kujitegemea wa kidato cha sita wanatakiwa kuwa na sifa gani? Je usajili umeanza katika vituo na baraza la mitihani?
Kwa anayejua anijuze tafadhali.
Sifa uwe na credit Tatu ya kombi unayoenda kusoma
Mara nying usajili wa mitihan huanza July au august
Endelea kupiga msuli mkuu, kitabu si lelemama
Hapana.. Uwe na credit za zile core subjectsmkuu katika hizo credits tatu je masomo ya option yanahesabika??
mmmhh kwa maana hiyo mwenye credit ya kiswahili, English na , islamic knowledge hana sifa huyo ?? :ekkHapana.. Uwe na credit za zile core subjects
Math, English, Geography, Civics, Bios, Kiswahili, History, Physics, Chemistry, Book Keeping, Commerce
mmmhh kwa maana hiyo mwenye credit ya kiswahili, English na , islamic knowledge hana sifa huyo ?? :ekk
ExactlySifa ni uwe na credit tatu haijalishi combination imebalance au haijabalance.
Nimeitoa katika Syllabus ya 2007, kuna combinations hapo zina religious subjects, so maybe I was wrong. Unaweza kusoma mkuu
That is, kama kuna shule inatoa hizo combinations