kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,815
wale ambao mmemaliza masomo ya sekondari na mnategemea kujiunga na elimu ya vyuo kuna dhana moja imejengeka kuwa chuo hakuna kusoma ni kula bata tu, naomba hii dhana muachane nayo,chuo kuna msuli.. sijajua huko kwingine ila kwa wale ambao wana mpango wa kufanya medicine kwa kweli msuli ni mzito sana, hakuna mchezo ukicheza utaondoka chuoni. Naamini hata kwingineko hali ni hivyo hivyo... so jiandae kwa msuli sio bata kama mnavyodanganyana huko mashuleni