Je kwa matokeo haya atapata chuo cha serikali kusomea diploma in Nursing?

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Kama mada ilivyo hapo juu, wanaJF kuna dogo amehitimu F4 2015 na kupata DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D.

Ameaply diploma in Nursing lakini masharti kila chuo ni pass 4 na PHYSICS D.
Kinachomchanganya ni je selection atapata kweli au watampeleka teaching maana ameaply vyote?
 
Kiukweli hapo alitakiwa kuwa na D katika Pys,Bio, na Chem.Watakapofungua tena NACTE,abadilishe aombe kozi nyingine,km vile madini,ardhi, nk
 
Jamani, nimeona hapahapa niulize swali langu, kuliko niongeze idadi ya nyuzi. Msaada tafadhali.

Nataka nikasome diploma ya phamarcy chuo cha serikali. Masomo ya Phys, Biol, Chem, na Math nina C, B, B, B. Utata upo kwenye English nilipata F kisha sikurisiti. (kwani yote hayo nilirisiti baada ya kuzungu awali).

Sasa je kwa kukosa kigezo katika somo la English nitaweza kukubaliwa katika kozi ya pharmacy?
 
Yaani wakishaona ualimu tu, hawaangaliagi kozi nyingine. Kwaufupi kwa ualimu hawapaswi kubipiwa
 
Huwa wanataka kikao kimoja tu cha mtihani...namaanisha ukirisiti unakua umepoteza sifa....!!!! Kwahiyo mpaka hapo hauna sifa
 
Back
Top Bottom