Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Ndugu wana JF,
Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .
Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.
Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?