Nataka kusomea IT, naomba ushauri

Singa Singa

Member
Dec 12, 2014
47
46
Habari wana jamvi

Mm Elimu yangu ni form2 niliishia apo nina Ujuzi mkubwa tu na mambo ya Computer napenda sana kuwa na sever yangu mf. Google mozilla nk. Nilimfata teach mmoja akaniambia unachotakiwa kufanya nikusoma QT miaka 2 dhen nikifalu vizur nikasome chuo kimja kipo Posta kikubwa2 manake hv coleg za uchochoroni havina sifa yyte ata ykiomba kaz utaangaika2.....

Mmi shida yangu nikujiajiri co kuajiriwa manake toka nazaliwa biadhara ya kuajiriwa haipo kichwani mwangu mpaka nakufa

Shida yangu nukusimea iko chuo ili niongeze nowlage kichwani mwangu ili niweze kufanikisha yaliuo yangu

Na kuhusu kusoma QT cko tayari kusoma miaka2 hata kama niliishia form3 .. 2009 naombeni ushaur wenu
 
hauko tayar kusoma qt sasa utasomaje chuo ndug yangu maana huna vigezo vya kusoma chuo
 
Habari wana jamvi

Mm Elimu yangu ni form2 niliishia apo nina Ujuzi mkubwa tu na mambo ya Computer napenda sana kuwa na sever yangu mf. Google mozilla nk. Nilimfata teach mmoja akaniambia unachotakiwa kufanya nikusoma QT miaka 2 dhen nikifalu vizur nikasome chuo kimja kipo Posta kikubwa2 manake hv coleg za uchochoroni havina sifa yyte ata ykiomba kaz utaangaika2.....

Mmi shida yangu nikujiajiri co kuajiriwa manake toka nazaliwa biadhara ya kuajiriwa haipo kichwani mwangu mpaka nakufa

Shida yangu nukusimea iko chuo ili niongeze nowlage kichwani mwangu ili niweze kufanikisha yaliuo yangu

Na kuhusu kusoma QT cko tayari kusoma miaka2 hata kama niliishia form3 .. 2009 naombeni ushaur wenu
Kaanze form 1 kama hutaki QT,
 
Kama huna nia yoyote ya kuajiriwa,nenda tu hapo chuoni waambie mm nataka niongeze maujuzi ila mwisho wa siku msinipe cheti.

Hivyo tu kazi imeisha.
 
Kama lengo kuwa na sever hapo ni mtaji tu ,wala haihitaji elimu kubwa sana ,Mfano wamiliki wa Google ,Facebook ,twitter na nk ,hawa walianza kidogokidogo baadae wavyokuwa wanaendelea wakaajiri wataalamu wa kuweza kumanage biashara zao ,Kwahiyo wewe kama una mtaji unaweza kuanza kidogokidogo kwa kuanzisha mtandao Mdogo then baadae ukikua utasajiri kama kampuni na kuanza kuajiri wataalam wakusaidie Kazi.
 
good Idea
 
Back
Top Bottom