clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 100
- 21
Naomba kujua cz mie ni mtahiniwa wa nje ya shule na Mungu akifanya wepesi mwakani nitafanya Mtihani wa form six swali ni je kwa comb tajwa hap juu nitafanya maths.... cz o level maths nina F
Asante
Asante