TCU mwaka huu imekuwaje?

chulla

Member
Jun 4, 2016
48
21
Habari zenu wakuu, kuna jambo linanitatiza kidogo.

Miaka ya nyuma TCU walikuwa wanawatanguliza waliomaliza miaka ya nyuma kufanya application ila kwa mwaka huu imekuwa tofauti kwani hadi sasa hivi imekuwa kimya.

Anayejua anisaidie tafadhali.
 
daaaa we acha tu ukiwauliza wanakwambia mpaka matokeo ya kidato cha sita yatoke
 
Back
Top Bottom